PROFESA MBARAWA: NINAONDOKA NIKIWA NIMEFARIJIKA SANA, WABUNGE WAMEISEMEA VIZURI WIZARA YA MAJI
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Profesa Makame Mbarawa amesema amefarijika sana na hata atakapoondoka ni wazi mambo yameenda vizuri kwa sababu kwa miaka kumi aliyokuwepo bungeni wizara ya maji imekuwa ikisemwa kwa maneno makali sana, lakini bunge hili la bajeti wabunge wameisemea vizuri sana wizara ya maji jambo ambalo ni jema. Makame ameyasema hayo wakati akihitimisha mjadala wa bajeti ya wizara ya maji bungeni jijini Dodoma jana.