BIG BREAKFAST: Siku ya Wakimbizi Duniani Toka Hyatt Regency Dar es Salaam
The Big Breakfast imeungana na UNHCR katika kuadhimisha siku ya wakimbizi duniani kwa mdahalo wa wazi na wadau mbalimbali kuhusu hali ya wakimbizi ilivyo nchini Tanzania